Orodha ya lugha za Timor-Mashariki
Mandhari
Orodha hii inahusu lugha za Timor ya Mashariki:
- Kiadabe
- Kibaikeno
- Kibunak
- Kifataluku
- Kigalolen
- Kihabun
- Kiidate
- Kikairui-Midiki
- Kikemak
- Kilakalei
- Kimakasae
- Kimakuva
- Kimambae
- Kinauete
- Kipijini ya Timor
- Kireno
- Kitetun
- Kitetun-Dili
- Kitukudede
- Kiwaima'a