Kigalolen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigalolen (pia Kiilwaki) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Timor-Mashariki na Indonesia inayozungumzwa na Wagalolen kwenye visiwa vya Timor na Wetar. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kigalolen nchini Timor-Mashariki imehesabiwa kuwa watu 13,000. Pia kuna wasemaji 680 nchini Indonesia (1990). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigalolen iko katika kundi la Kitimor-Babar.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigalolen kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.