Kibunak

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibunak ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Timor ya Mashariki na Indonesia inayozungumzwa na Wabunak. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kibunak nchini Timor ya Mashariki imehesabiwa kuwa watu 55,000, na nchini Indonesia kuwa 21,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibunak iko katika kundi la Kitimor.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibunak kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.