Lugha za Kivuka-Guinea Mpya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lugha za Kivuka-Guinea Mpya (pia Lugha za Kitrans-Niugini) ni familia kubwa ya lugha ambazo huzungumzwa katika kisiwa cha Guinea Mpya pande zote mbili nchini Indonesia na nchini Papua Guinea Mpya. Idadi ya lugha katika familia hiyo ni zaidi ya 300.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kivuka-Guinea Mpya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.