Kiadabe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiadabe ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Timor ya Mashariki inayozungumzwa na Waadabe. Katika sensa ya mwaka 2015, idadi ya wasemaji wa Kiadabe imehesabiwa kuwa watu 260 [1]. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiadabe iko katika kundi la Kitimor.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Matokeo ya sensa ya 2015 Archived 23 Septemba 2019 at the Wayback Machine. kutoka tovuti ya Wikipedia ya Kijerumani

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiadabe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.