Kimakuva
Mandhari
Kimakuva ni lugha ya Kiaustronesia nchini Timor ya Mashariki inayozungumzwa na Wamakuva. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kimakuva imehesabiwa kuwa watu 56 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimakuva iko katika kundi la Kitimor-Babar.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimakuva kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimakuva Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimakuva katika Glottolog
- lugha ya Kimakuva kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimakuva kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |