Kibaikeno

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibaikeno ni lugha ya Kiaustronesia nchini Timor ya Mashariki inayozungumzwa na Wabaikeno. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kibaikeno imehesabiwa kuwa watu 72,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibaikeno iko katika kundi la Kitimor-Babar.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibaikeno kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.