Orodha ya Vyuo Vikuu nchini Uganda
Mandhari
Hii ni orodha ya vyuo vikuu nchini Uganda.
Vyuo vya umma
[hariri | hariri chanzo]- 1. Chuo Kikuu cha Busitema (BSU), Busitema, Wilaya ya Busia, 2007
- 2. Chuo Kikuu cha Gulu (Gu), Gulu, 2002
- 3. Chuo Kikuu cha Kyambogo (KYU), Kyambogo, Kampala, 2002
- 4. Chuo Kikuu cha Makerere (MUK), Makerere, Kampala, 1922
- 5. Chuo Kikuu cha Mbarara cha sayansi na Teknolojia (MUST), Mbarara, 1989
Vyuo vya binafsi
[hariri | hariri chanzo]- 6. African Bible College (Uganda) (ABC), Wilaya ya Wakiso, 2005
- 7. Chuo Kikuu cha Aga Khan, Kampala, 2001
- 8. All Saints University (ASU), Lira, 2008
- 9. Ankole Western University (AWU), Kabwohe, 2005
- 10. Chuo Kikuu cha Askofu Stuart (BSU), Mbarara, 2003
- 11. Chuo Kikuu cha Bugema (BU), Wilaya ya Luweero, 1997
- 12. Chuo Kikuu cha Busoga (BGU), Iganga, 1999
- 13. Fairland University (MAFUA), Jinja, 2001
- 40. Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Sayansi ya Afya (IHSU), Kampala, 2008
- 15. Chuo Kikuu cha Kiislamu nchini Uganda (IUIU), Mbale, 1988
- 16. Chuo Kikuu cha Kabale (KABU), Kabale, 2001
- 17. Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala (KIU), Kampala, 2001
- 41. Chuo Kikuu cha Kampala (KU), Kampala, 2005
- 19. Chuo Kikuu cha Kumi (KUMU), Kumi, 1999
- 20. Chuo Kikuu cha Lugazi (LU), Mukono, 2007
- 21. Muteesa I Royal University (MRU), Masaka, 2007
- 22. Milima ya Mwezi University (MMU), Fort Portal, 2005
- 23. Chuo Kikuu cha Ndejje (NDU), Luweero, 1992
- 24. Chuo Kikuu cha Nkumba University (NU), Entebbe, 1999
- 25. St Lawrence University (Uganda) (SLAU), Kampala, 2006
- 26. Uganda Christian University (UCU), Mukono, 1997
- 27. Uganda Martyrs University (UMU) Nkozi, Wilaya ya Mpigi, 1993
- 28. Uganda Pentecostal University (UPU), Fort Portal, 2005
Taasisi zisizo Vyuo Vikuu zinazotoa shahada ya digrii
[hariri | hariri chanzo]- 29. Uganda Management Institute (UMI), Kampala; 1969
- [45] Taasisi ya Masomo ya Petroli ya Kigumba (KIPS), Masindi; 2010
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- http://www.enteruganda.com/brochures/uniguidehome.html Archived 16 Februari 2010 at the Wayback Machine.
- http://www.unesco.org/iau/onlinedatabases/list_data/u-nw.html # Uganda
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Orodha ya Vyuo Vikuu nchini Uganda kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |