Orodha ya Maspika wa Bunge la Tanzania
Mandhari
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa sasa anaongoza jumla ya wabunge 393 katika Bunge la Tanzania.[1]
Ifuatayo ni orodha ya Maspika wa Bunge hilo:
Jina | Kuingia madarakani | Kutoka madarakani | Taarifa |
---|---|---|---|
Adam Sapi Mkwawa | 26 Aprili 1964 | 19 Novemba 1973 | Mkwawa alichaguliwa kuwa spika wa Bunge la Tanganyika tarehe 27 Novemba 1962[2] |
Erasto Andrew Mbwana Mang'enya | 20 Novemba 1973 | 5 Novemba 1975 | [2] |
Adam Sapi Mkwawa | 6 Novemba 1975 | 25 Aprili 1994 | [2] |
Pius Msekwa | 28 Aprili 1994 | 28 Novemba 2005 | [2] |
Samuel John Sitta | 28 Desemba 2005 | 2010 | [2] |
Anna Makinda | 10 Novemba 2010 | 16 Novemba 2015 | [2] |
Job Ndugai | 17 Novemba 2015 | amejiuzulu January 1 2022 | [2] |
Tulia Ackson | 1 Februari 2022 | Hadi Sasa |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |