Samuel John Sitta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Sitta

Samuel John Sitta (amezaliwa 18 Desemba, 1942) ni mbunge wa jimbo la Urambo Mashariki katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Samwel Sitta (28 Juni 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.