Nenda kwa yaliyomo

Olympus Mons

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Olympus Mons

Olympus Mons ni mlima kwenye sayari ya Mirihi. Ni mlima mrefu na pia volkano ndefu katika mfumo wa Jua.

Olympus Mons ina urefu wa kilomita 27 juu ya uso wa Mirihi wastani.[1] Hivyo kimo chake ni mara tatu kuliko Mlima Everest duniani ukipimwa kutoka usawa wa bahari na zaidi ya mara mbili kuliko Mauna Kea unaopimwa kilomita 10 kutoka mguu wake chini ya bahari hadi kilele.

Jina liliteuliwa kutokana na Mlima Olimpos nchini Ugiriki. "Olympus Mons" ni umbo la Kilatini la "Mlima Olimpos".

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "What are the highest and lowest points on the surface of Mars". NASA. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-31. Iliwekwa mnamo 2009-05-17. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.