Olena Demyanenko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Olena Demyanenko, Toronto, mwaka 2019.

Olena Viktorivna Demyanenko (amezaliwa Lviv, 8 Mei 1966) ni mkurugenzi wa filamu,[1] mtayarishaji wa filamu,[2] na mwandishi wa filamu wa Ukraine.

Ni mwanachama wa Umoja wa kitaifa waongozaji wa kamera katika utengenezaji wa filamu nchini Ukraine katika Chuo cha Filamu cha Ukraine (tangu 2017) na Chuo cha Filamu cha Ulaya (tangu 2018).[3]

Mwaka 1990 alihitimu katika Taasisi ya Sanaa ya Kiev ya Karpenko-Kary.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Olena Demyanenko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. "Ukraine ready to launch its own Oscars". Kyiv Post. April 19, 2017.  Check date values in: |date= (help)
  2. "My Grandmother Fanny Kaplan". europeanfilmawards.eu. Iliwekwa mnamo February 17, 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "Нові члени Європейської кіноакадемії від України". Бюро української кіножурналістики. October 6, 2018.  Check date values in: |date= (help)