Odysseas Elytis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Odysseas Elytis
Odysseas Elytis, 1974

Odysseas Elytis mnamo tarehe 2 Novemba 1911 mpaka tarehe 18 Machi 1996 alikuwa mshairi, na mtafsiri kutoka nchi ya Ugiriki. Jina lake la kuzaliwa ni Odysseas Alepoudhelis.

Mnamo Mwaka wa 1979 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Odysseas Elytis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.