Nenda kwa yaliyomo

Odilon Kossounou

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kouakou Odilon Dorgeless Kossounou (alizaliwa 4 Januari 2001)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Kodivaa, ambaye anacheza kama beki katika klabu ya Bayer 04 Leverkusen inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Kodivaa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Odilon Kossounou kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.