Nuhu Abdullahi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nuhu Abdullahi Balarabe (alizaliwa 3 Januari 1991) ni muigizaji na muandaaji wa filamu wa Nigeria,[1] alizaliwa na kukulia katika jimbo la Kano. Nuhu ni mmoja wa wasanii wakubwa wa filamu kutoka Kannywood , huigiza filamu katika lugha za Kihausa na Kiingereza. alishinda tuzo ya City People Entertainment Awards kama muigizaji bora mwaka 2015,[2]

Taaluma[hariri | hariri chanzo]

Nuhu Abdullahi alijiunga na Kannywood film industry mwaka 2009 kama mtayarishaji wa filamu ,na alitayarisha filamu mbalimbali ikiwemo Baya da Kura, Fulanin Asali, Kuskure, Mujarrabi, na nyingine nyingi.[3] Nuhu alianza kutokea katika filamu ya kwanza ya Ashabul Kahfi, na kupata mashabiki wengi Nuhu Abdullahi huigiza katika Kannywood Pamoja na Nollywood

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nuhu Abdullahi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.