Nenda kwa yaliyomo

Noel Salekwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Padri
Noel Salekwa
C.S.Sp.
AmezaliwaNoel James Salekwa Tarimo Jr.
29 Desemba 1989 (1989-12-29) (umri 34)
UtaifaBendera ya Tanzania Tanzania
ElimuUsa Seminari
Chuo Kikuu Shiriki cha Tangaza
Chuo Kikuu Katoliki Cha Afrika Mashariki
Chuo Cha Pontifical Urban
Chuo Cha Salesian Pontifical
Kazi yakeUpadri
DiniKatoliki
WazaziDr. James Salekwa Tarimo (Baba)
Avelina James Salekwa (Mama) [1]
NduguIrene Tarimo
Atanisia Karoli

Noel James Salekwa C.S.Sp. (alizaliwa 29 Desemba 1989) ni Mtanzania, Padre Mkatoliki, mtetezi wa theolojia ya upatanisho, na mwanashirika wa Shirika la Roho Mtakatifu nchini Tanzania. [2]

Amekuwa mtetezi wa theolojia ya upatanisho Afrika Mashariki, akisisitiza kwamba uvumilivu wa kidini ni jambo la msingi katika kukuza mshikamano wa kitaifa unaohimiza amani na kuepusha vurugu na kwamba lengo la utu wa mwanadamu ni kutendewa kwa usawa bila kujali dini, rangi, na tofauti za kikabila. [3] [4] [5]

  1. [1] Registration Insolvency and Trusteeship Agency
  2. Salekwa, Noel. "The examined life of spirit-ans", Farewell Ceremonies, Spiritan Missionary, 12 Novemba 2011. Retrieved on 2023-04-19. Archived from the original on 2023-04-19.  Spiritans Remembered C.S.Sp. †, https://spiritanmissionaryseminary.com/ Ilihifadhiwa 19 Aprili 2023 kwenye Wayback Machine.
  3. "What Can the rest of Africa learn from Egypt's chaos?". 20 Julai 2013. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 21 Machi 2021. Iliwekwa mnamo 14 Aprili 2023. {{cite web}}: |archive-date= / |archive-url= timestamp mismatch; 19 Aprili 2023 suggested (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "What lessons did you draw from Tanzanian election polls?".
  5. Padre Noel James Salekwa C.S.Sp. wa Shirika la Roho Mtakatifu
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Noel Salekwa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.