Atanasia Karoli
Mandhari
(Elekezwa kutoka Atanisia Karoli)
Muuguzi Atanasia Karoli | |||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Utaifa | Mtanzania | ||||||||||||
Elimu | Shule ya Sekondari ya Wasichana Kifungilo (Kifungilo Girls' Secondary School) | ||||||||||||
Mhitimu | Shahada ya umahiri Shahada ya uzamili | ||||||||||||
Kazi yake | Muuguzi Mkuu | ||||||||||||
Mwajiri | Hospitali ya Kibong'oto | ||||||||||||
Dini | Mkristo | ||||||||||||
Ndugu | Noel Salekwa John Mrosso | ||||||||||||
|
Atanasia Karoli (alizaliwa Kilimanjaro, Tanzania) ni Muuguzi mkuu wa hospitali ya Rufani ya taifa ya magonjwa ambukizi ya Kibong'oto nchini Tanzania.[1] [2] [3] [4] [5] Pia aliteuliwa kuwa mjumbe wa timu ya uendeshaji katika hospitali maalumu ya tiba ya magonjwa ambukizi Kibong'oto wilayani Siha mkoa wa Kilimanjaro. [6] [7] [8]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ University, Suez Canal. "Tanzania and Egypt in a joint cooperation protocol between the two sides.", List Members, Suez Canal University, Ismailia, Egypt., 16 June 2015.
- ↑ Infectious Diseases Hospital, Kibong'oto [@OtoKibong] (11 Februari 2022). "Mkurugenzi wa Hospitali Maalum ya Tiba ya Magonjwa ambukizi Kibong'oto Dkt.Leonard Subi akiwa na Katibu wa Afya Bi.Bernada Msase na Muuguzi Mkuu wa Hospitali Bi.Atanasia Karoli wakati wa kikao cha Wafanyakazi wa Hospitali maalum ya Magonjwa ambukizi Kibong'oto" (Tweet). Iliwekwa mnamo 5 Juni 2023 – kutoka Twitter.
{{cite web}}
: Cite has empty unknown parameter:|dead-url=
(help); no-break space character in|title=
at position 209 (help) - ↑ "Kibong'oto yawataka watumishi wake kufanya uchunguzi wa afya zao". 21 Oktoba 2021. Iliwekwa mnamo Juni 5, 2023.
- ↑ "Kibong'oto kutoa chanjo ya homa ya ini kwa watumishi". 23 Oktoba 2022. Iliwekwa mnamo Juni 5, 2023.
- ↑ Muuguzi Mkuu apokea zawadi kutoka Kampuni ya Bonite Bottlers Kilimanjaro, ambayo imetoa zawadi ya Krismasi na Mwaka mpya 2019 kwa wagonjwa wa Hospitali ya magonjwa ambukizi Kibong’oto 11 Januari 2019
- ↑ Kibong'oto, Hospitali ya [@OtoKibong] (7 Mei 2022). "Mkurugenzi Mkuu wa NIMR Tanzania na Mkurugenzi wa NIMR tawi la Mbeya ambaye pia ni mjume wa Bodi ya Ushauri ya Hospitali Maalum ya Tiba ya Magonjwa Ambukizi Kibong'oto wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa timu ya uendeshaji ya Hospitali" (Tweet). Iliwekwa mnamo 5 Juni 2023 – kutoka Twitter.
{{cite web}}
: Cite has empty unknown parameter:|dead-url=
(help); no-break space character in|title=
at position 55 (help) - ↑ "Napambana na kifua kikuu, jiunge nasi sasa". Iliwekwa mnamo Juni 5, 2023.
- ↑ "Historia ya Udhibiti wa Kifua Kikuu Ulimwenguni ikijulikana kupitia Kumbukumbu za Ndani" (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-07-14. Iliwekwa mnamo Juni 5, 2023.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Atanasia Karoli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |