Nenda kwa yaliyomo

Atanasia Karoli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muuguzi
Atanasia Karoli
UtaifaMtanzania
ElimuShule ya Sekondari ya Wasichana Kifungilo (Kifungilo Girls' Secondary School)
MhitimuShahada ya umahiri
Shahada ya uzamili
Kazi yakeMuuguzi Mkuu
MwajiriHospitali ya Kibong'oto
DiniMkristo
NduguNoel Salekwa
John Mrosso

Hospitali ya Kibong'oto

mhitimu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili
taaluma Muuguzi
kamati Mjumbe Hospitali ya Kibong'oto Tanzania

Atanasia Karoli (alizaliwa Kilimanjaro, Tanzania) ni Muuguzi mkuu wa hospitali ya Rufani ya taifa ya magonjwa ambukizi ya Kibong'oto nchini Tanzania.[1] [2] [3] [4] [5] Pia aliteuliwa kuwa mjumbe wa timu ya uendeshaji katika hospitali maalumu ya tiba ya magonjwa ambukizi Kibong'oto wilayani Siha mkoa wa Kilimanjaro. [6] [7] [8]

  1. University, Suez Canal (16 Juni 2015). "Tanzania and Egypt in a joint cooperation protocol between the two sides" (PDF). List Members. Suez Canal University, Ismailia, Egypt.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Infectious Diseases Hospital, Kibong'oto [@OtoKibong] (11 Februari 2022). "Kosa la hati: Hakuna husisho kama "replace"." (Tweet). Iliwekwa mnamo 5 Juni 2023 – kutoka Twitter. {{cite web}}: Cite has empty unknown parameter: |dead-url= (help)
  3. "Kibong'oto yawataka watumishi wake kufanya uchunguzi wa afya zao". 21 Oktoba 2021. Iliwekwa mnamo Juni 5, 2023.
  4. "Kibong'oto kutoa chanjo ya homa ya ini kwa watumishi". 23 Oktoba 2022. Iliwekwa mnamo Juni 5, 2023.
  5. Muuguzi Mkuu apokea zawadi kutoka Kampuni ya Bonite Bottlers Kilimanjaro, ambayo imetoa zawadi ya Krismasi na Mwaka mpya 2019 kwa wagonjwa wa Hospitali ya magonjwa ambukizi Kibong’oto 11 Januari 2019
  6. Kibong'oto, Hospitali ya [@OtoKibong] (7 Mei 2022). "Kosa la hati: Hakuna husisho kama "replace"." (Tweet). Iliwekwa mnamo 5 Juni 2023 – kutoka Twitter. {{cite web}}: Cite has empty unknown parameter: |dead-url= (help)
  7. "Napambana na kifua kikuu, jiunge nasi sasa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-06-05. Iliwekwa mnamo Juni 5, 2023.
  8. "Historia ya Udhibiti wa Kifua Kikuu Ulimwenguni ikijulikana kupitia Kumbukumbu za Ndani" (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-07-14. Iliwekwa mnamo Juni 5, 2023. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Atanasia Karoli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.