Nenda kwa yaliyomo

Niite Mr. II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Niite Mister II)
Niite Mr. II
Niite Mr. II Cover
Studio album ya Mr. II
Imetolewa 1998
Imerekodiwa 1997-98
Aina Bongo Flava, Hip hop
Lebo FM Music Bank
Mtayarishaji Master Jay
Wendo wa albamu za Mr. II
"Ndani ya Bongo"
(1996)
"Niite Mr. II"
(1998)
"Nje ya Bongo"
(1999)


Niite Mr. II, ni jina la albamu ya tatu kutoka kwa msanii wa muziki wa hip hop wa Dar es Salaam, Tanzania maarufu kama II Proud. Albamu imetoka mwaka 1998, miaka miwili tangu atoe albamu yapili. Nyimbo kali kutoka katika albamu ni pamoja na Zaidi na Zaidi, Hali Halisi, Nnapotaka na Sema Nao. [1]

Orodha ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]
  1. A1 - Mahakamani Intro
  2. A2 - Hali Halisi
  3. A3 - Kijiweni Intro
  4. A4 - Hamna Noma
  5. A5 - Nnapotaka
  6. A6 - Yote Ni Pesa
  7. A7 - Matter Of Fact
  8. B1 - Radio Intro
  9. B2 - Sema Nao
  10. B3 - Kila Siku Kila Mwaka
  11. B4 - Zaidi Ni Zaidi
  12. B5 - Yeyote Popote
  13. B6 - Dangerous Minds

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Niite Mr. II katika wavuti ya Discogs