Nenda kwa yaliyomo

New Jack Swing

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Teddy Riley katika Ziara ya 90's Block Party.

New Jack Swing ni mtindo wa muziki uliounganisha vipengele vya R&B, hip hop, na pop[1][2] ambao ulianza kupata umaarufu mwishoni mwa miaka ya 1980 hadi katikati ya miaka ya 1990. Mtindo huu ulitambulika kirahisi kwa midundo mizito, ala za elektroniki, na mapigo ya faafu yaliyochanganywa ala za hip hop na funk ndani ya mseto laini wa sauti za R&B. Mtindo huu wa muziki ulisaidia kuleta mabadiliko makubwa katika muziki wa R&B na pia kuwaweka wasanii Wamarekeni Weusi kuvuka ng'ambo ya kimataifa.[3]

New Jack Swing ulibuniwa na Teddy Riley, mwanamuziki, mtayarishaji na mpiga ala anuwai kutoka Marekani. Riley hakuwa peke yake katika kuunda mkong'o sio wa muziki huu bali pamoja na mchango wa mtayarishaji maarufu Bernard Belle, Jimmy Jam and Terry Lewis.

Riley ndiye aliyefanya mtindo huu kuwa maarufu na mwenyewe alitengeneza nyimbo nyingi za New Jack Swing ambazo zilitamba sana. Hasa kuanzia miaka ya 1987 akiwa na kundi lake la Guy. Hawa walizalisha mtindo huu maarufu.[4]

Baadhi ya nyimbo na wasanii maarufu

[hariri | hariri chanzo]
Nyimbo Maarufu za New Jack Swing
#WimboMsaniiMwakaMtayarishaji
1"I Want Her"Keith Sweat1987Teddy Riley
2"My Prerogative"Bobby Brown1988Teddy Riley
3"Remember the Time"Michael Jackson1991Teddy Riley
4"Poison"Bell Biv DeVoe1990Dr. Freeze, Spyderman
5"Every Little Step"Bobby Brown1988L.A. Reid, Babyface
6"Rub You the Right Way"Johnny Gill1990Jimmy Jam, Terry Lewis
7"Rump Shaker"Wreckx-n-Effect1992Teddy Riley
8"Don't Be Cruel"Bobby Brown1988L.A. Reid, Babyface
9"Groove Me"Guy1988Teddy Riley
10"Alright"Janet Jackson1989Jimmy Jam, Terry Lewis
11"Just Got Paid"Johnny Kemp1988Teddy Riley
12"She's Got That Vibe"R. Kelly & Public Announcement1991R. Kelly
13"If It Isn't Love"New Edition1988Jimmy Jam, Terry Lewis
14"I Like"Guy1988Teddy Riley
15"I'm Dreamin'"Christopher Williams1991Teddy Riley
16"Feels Good"Tony! Toni! Toné!1990Tony! Toni! Toné!
17"Baby Be Mine"Blackstreet1994Teddy Riley
18"Nite and Day"Al B. Sure!1988Kyle West
19"Right Here"SWV1992Brian Alexander Morgan
20"You Can Call Me Crazy"Guy1988Teddy Riley
21"Don't Take It Personal"Jermaine Jackson1989L.A. Reid, Babyface
22"Get Away"Bobby Brown1992Teddy Riley
23"Sensitivity"Ralph Tresvant1990Jimmy Jam, Terry Lewis
24"Peace of My Love"Guy1988Teddy Riley
25"Mr. Loverman"Shabba Ranks1992Bobby Digital
26"Motownphilly"Boyz II Men1991Dallas Austin, Michael Bivins
27"Do Me!"Bell Biv DeVoe1990Dr. Freeze, Spyderman
28"How Do U Want It"2Pac ft. K-Ci & JoJo1996Johnny J
29"Go Outside in the Rain"Milira1990Najee, Charles Huggins
30"She's Fly"Tony Terry1990Teddy Riley
31"I'll Do for You"Father MC1990Mark Morales, Cory Rooney
32"I Wanna Sex You Up"Color Me Badd1991Dr. Freeze
33"Can't You See"Total ft. The Notorious B.I.G.1995Sean "Puffy" Combs, Rashad Smith
34"Twice My Age"Shabba Ranks ft. Krystal1988Bobby Digital
35"Don't Let Go (Love)"En Vogue1996Organized Noize
36"Uptown Anthem"Naughty by Nature1992Naughty by Nature
37"New Jack Swing"Wreckx-n-Effect1989Teddy Riley
38"Let's Chill"Guy1990Teddy Riley
39"Do the Right Thing"Redhead Kingpin and the F.B.I.1989Teddy Riley
40"Here We Go Again!"Portrait1992Portrait
41"No Diggity"Blackstreet ft. Dr. Dre1996Teddy Riley
42"Make You Sweat"Keith Sweat1990Keith Sweat
43"Whoomp! (There It Is)"Tag Team1993Tag Team
44"Too Close"Next1997KayGee
45"Don't Stop Your Love"Keith Sweat1987Keith Sweat
46"I'm Your Baby Tonight"Whitney Houston1990L.A. Reid, Babyface
47"Just Kickin' It"Xscape1993Jermaine Dupri
48"Every Time I Close My Eyes"Babyface1996Babyface
49"I'm Still Waiting"Johnny Gill1990L.A. Reid, Babyface
50"It's No Crime"Babyface1989L.A. Reid, Babyface
  1. "New jack swing | R&B, Hip-Hop, Pop | Britannica". www.britannica.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-11-04.
  2. "Jack swing - Definition and More from the Free Merriam-Webster Dictionary". web.archive.org. 2011-06-10. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-06-10. Iliwekwa mnamo 2024-11-04.{{cite web}}: CS1 maint: bot: original URL status unknown (link)
  3. Burnim, Mellonee V.; Maultsby, Portia K. (2014-11-13). African American Music: An Introduction (kwa Kiingereza). Routledge. ISBN 978-1-317-93443-1.
  4. "Alton "Wokie" Stewart Songs, Albums, Reviews, ..." AllMusic (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-11-04.