Nash Aguas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nash Aguas

Amezaliwa Aeign Zackrey Aguas
10 Oktoba 1998 (1998-10-10) (umri 25)
Jiji la Cavite, Ufilipino
Kazi yake Mwigizaji
Mwanasiasa
Miaka ya kazi 2004–hadi leo

Nash Aguas (alizaliwa kama Aeign Zackrey Aguas tarehe 10 Oktoba 1998) ni mwigizaji wa filamu na televisheni kutoka nchini Ufilipino. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa kucheza kama Peping katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kifilipino maarufu kama Gulong ng Palad, Kwa sasa anahudumu kama Diwani wa Jiji la Cavite tangu tarehe 30 Juni 2022.

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Nash alianza kuonekana kwa mara ya kwanza kwenye televisheni, ni baada ya kushiriki katika kinyang'anyiro cha kumtafuta mkali wa MTB kupitia Batang F4. Aliingia rasmi katika shughuli za uigizaji ni baada ya kujiunga katika mashindano ya kipinid cha TV cha kutafuta watoto wenye vipaji vya uigizaji cha ABS-CBN maarufu kama Star Circle Kid Quest, ambamo alijiigiza kama Mr. Suave Mdogo.

Alionyesha uwezo na uchangamfu mkubwa na kupelekea kupata kura za Bibbo Kid Of The Week mara kedekede. Kitendo cha kuwa na uwezo, yaani (kipaji, maarifa, mwonekano, na ucheshi wake), kumemfanya ashinde taji la Grand Kid Questor na pia kuchukua zawadi maalum kibao katika maonyesho ya vipindi.

Filamu[hariri | hariri chanzo]

Televisheni[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Jina Jina aliliotumia Mtandao
2004 Star Circle Quest kama jina lake/mshindani ABS-CBN
Mga Anghel Na Walang Langit ABS-CBN
2005 Gulong ng Palad Peping ABS-CBN
2005-present Goin' Bulilit kama jina lake ABS-CBN
2006 Calla Lily Terrence ABS-CBN
Komiks Presents: Vulcan 5 Boyet ABS-CBN
Komiks Presents: Inday sa Balitaw Boyong ABS-CBN
2007 Maria Flordeluna Reneboy Alicante ABS-CBN
Sineserye Presents: Natutulog Ba Ang Diyos? Mark mdogo ABS-CBN
2008 Lobo Tikboy ABS-CBN

Filamu za kawaida[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Jina Jina alilotumia Kampuni
2005 Hari ng Sablay Jay-jay
Happily Ever After Leeboy
2006 Shake, Rattle & Roll 8: "Yaya" Benjo Regal Films
2007 Shake, Rattle and Roll 9: "Christmas Tree" Stephen Regal Films
Angels
Tiyanaks Biboy
2008 Dayo Sauti ya Bubuy
2009[1] Land Down Under TBA

Muziki[hariri | hariri chanzo]

Albamu ya Dansi[hariri | hariri chanzo]

  • Jump Around: Albamu ya Dansi ya Watoto ya Moose Gear

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Salut, Eric John (2008-11-03). Staff ng ‘The Buzz,’ pumalag sa ‘Showbiz Central’ (Tagalog). People's Tonight. Journal Online. Iliwekwa mnamo 2008-11-04.
  2. Dimaculangan, Jocelyn (2008-07-11). "Shake, Rattle and Roll 9" frightens the public anew December 25. Entertainment Guide/Movies. The Philippine Entertainment Portal. Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-10-22. Iliwekwa mnamo 2008-06-29.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]