ABS-CBN

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

ABS-CBN Corporation au ABS-CBN, ni muungano wa vyombo vya habari wa Ufilipino wenye makao yake makuu katika Jiji la Quezon. Ilianzishwa mnamo 1946 kama Bolinao Electronics Corporation (BEC).

Kampuni hiyo iliundwa kwa kuunganishwa kwa Alto Broadcasting System (ABS) na Chronicle Broadcasting Network (CBN).

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu ABS-CBN kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.