Nalenale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Nalenale
Jina Kamili {{{jina kamili}}}
Jina la kisanii Nalenale
Nchi Tanzania
Alizaliwa 16 Aprili 1977
Aina ya muziki Hip hop
Kazi yake Mwanamuziki
Miaka ya kazi 1996 - hadi leo
Ameshirikiana na G Ganstar
Pig Black
Juma Nature
Luteni Karama
Richie One
Mzimu
Doro
D Chief
Inspector Haroun
Ala Sauti
Kampuni Mwamba Production
Uptown Records

Hassan Abdallah Jongo (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Nalenale; amezaliwa 16 Aprili 1977) ni msanii wa muziki wa hip hop na bongo flava kutoka nchini Tanzania.

Anafahamika zaidi kwa kuwa mmoja kati ya waanzilishi na waendelezi wa kundi la muziki wa hip hop ngumu - Free Dogs Camp (F.D.C.).

Sasa hivi ni mmoja kati ya wanakundi la muziki wa hip hop maarufu kama Wanaume Halisi.

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nalenale kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.