Muyiwa Ademola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Muyiwa Ademola (alizaliwa 26 Januari 1971) ni mwigizaji wa Nigeria wa Nollywood, mtengenezaji wa filamu, muandaaji na pia muongozaji.[1] Mwaka 2005 filamu yake ya ORI ilishinda tuzo ya 1st Africa Movie Academy Awards. Mwaka 2008 alichaguliwa kuingia katika tuzo za 4th Africa Movie Academy Awards.[2][3]

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa tarehe 26 Januari 1971 huko Abeokuta, mji mkuu wa jimbo la Ogun nchini Nigeria.[4]

Taaluma[hariri | hariri chanzo]

Alijiunga rasmi na uchezaji wa filamu kupitia kwake Charles Olumo, na anajulikana zaidi kama Agbako.[5] ba baadae alikutana na muongozaji wa filamu aitwae S.I ambae alimfundisha kuigiza na kutayarisha filamu .[6] Alianza rasmi uigizaji wa filamu mwaka 1991, na mwaka 1995, alianza rasmi filamu ya kwanza aliyoiandika iitwayo Asise Tangu mwaka 1995, amekuwa akiandaa filamu katika lugha ya Kiyoruba zikiwa zinatoka Nollywood.[7] Mwezi Januari mwaka 2013 alipata ajali iliyosababisha kifo chake [8]

Filamu[hariri | hariri chanzo]

 • Asise (1995)
 • Ogo Osupa
 • Ori (2004)
 • Ile
 • Alapadupe
 • Ami Ayo
 • Fimidara Ire
 • Gbarada (2019)

[9]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. Our Reporter. Few know I’m a Prince –Muyiwa Ademola. Iliwekwa mnamo 3 January 2015.
 2. TOP NIGERIAN ACTRESSES BATTLE FOR AMAA 2008 AWARDS. thenigerianvoice.com. Iliwekwa mnamo 3 January 2015.
 3. African Movie Academy Awards - 2008 - Winners & Nominees. Iliwekwa mnamo 3 January 2015.
 4. Tolu. Actor, Muyiwa Ademola Shares Photos Of His Lovely Wife And Kids. INFORMATION NIGERIA. Iliwekwa mnamo 3 January 2015.
 5. Popular Actor, Muyiwa Ademola Loses Dad. thenigerianvoice.com. Iliwekwa mnamo 3 January 2015.
 6. Check Out Yinka Ayefele, Femi Adebayo, Muyiwa Ademola And Other At Ale Erebe In Ibadan - NEWSCRIB.NET. NEWSCRIB.NET. Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-01-03. Iliwekwa mnamo 3 January 2015.
 7. Archived copy. Jalada kutoka ya awali juu ya 3 January 2015. Iliwekwa mnamo 3 January 2015.
 8. More sad news in Nollywood: Actor Muyiwa Ademola involved in fatal accident. DailyPost Nigeria. Iliwekwa mnamo 3 January 2015.
 9. Archived copy. Jalada kutoka ya awali juu ya 3 January 2015. Iliwekwa mnamo 3 January 2015.
Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Muyiwa Ademola kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.