Nenda kwa yaliyomo

Mto Okere

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Okere unapatikana katika wilaya ya Katakwi, mashariki mwa Uganda.

Maji yake yanaishia katika mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]


Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]