Mto Njano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mwendo wa Mto Njano au Huáng Hé
Mto Njano mjini Lanzhou

Mto Njano (Kichina Huang He) ni mto mkubwa wa China ya Kaskazini, mto mkubwa wa pili wa China yote na mto mrefu wa nane duniani. Jina limetokana na rangi ya matope ya ardhi unamopita.

Mwendo wake una urefu wa kilomita mnamo 5,000 (viwango mbalimbali hutajwa kati ya kilomita 4,845 hadi 5,464) kuanzia nyanda za juu za Tibet hadi delta yake kwenye Ghuba ya Bohai ambayo ni sehemu ya Bahari ya Mashariki ya China.

Mto Njano umeitwa mara nyingi mto mama wa China na chanzo cha ustaarabu wa Kichina.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Flag-map of the People's Republic of China.svg Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Njano kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.