Mto Lugenda, Msumbiji
Mandhari
Chanzo | Ziwa Amaramba |
Mdomo | Mto Ruvuma |
Urefu | km |
Kimo cha chanzo | m |
Mkondo | m3 |
Eneo la beseni | km2 |
Mto Lugenda (pia Lujenda au Msambiti[1]) ni mto unaotiririka kaskazini mwa Msumbiji.
Unaanza kwenye Ziwa Amaramba/Ziwa Chiuta na kuishia katika Mto Ruvuma ikiwa ni tawimto kubwa lake zaidi[2]. Unaungana na Mto Luambala pale 13°26′12″S 36°18′20″E / 13.43667°S 36.30556°E.
Upande wa kaskazini wa Ziwa Chiuta wakazi huuita Msambiti.[1] Lugenda hugawiwa sasa ka mikono tofauti yenye visiwa mbalimbali kati yao, vingine vikiwa na makazi ya watu kama vile kisiwa cha Achemponda.[3]
Kuna tembo wengi katika bonde la Lugenda. Wakazi ni hasa Wayao na Wamakua, pamoja na Wangoni, Wamaravi na Wamatambwe.[4]
Jina
[hariri | hariri chanzo]Maana ya neno "Lugenda" kwa Kiyao ni “mto mkubwa.”[1]
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 1.0 1.1 1.2 Manchester Geographical Society (1885). The Journal of the Manchester Geographical Society (23-24). Cambridge Scholars Publishing. ku. 302–304.
- ↑ A directory of African wetlands. Belhaven Press Book, International Union for the Conservation of Nature and Natural Resources (IUCN). 1992. uk. 686. ISBN 2-88032-949-3.
{{cite book}}
: Cite uses deprecated parameter|authors=
(help) - ↑ Manchester Geographical Society (1885). The Journal of the Manchester Geographical Society (23-24). Cambridge Scholars Publishing. uk. 307.
- ↑ "Emerging from the shadows, Nissa National Reserve" (PDF). Africa Geographic Article. Juni 2007. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2011-07-14. Iliwekwa mnamo 2010-10-11.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu maeneo ya Msumbiji bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Lugenda, Msumbiji kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |