Nenda kwa yaliyomo

Ziwa Chiuta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chiuta
Muonekano wa Ziwa Chiuta
Muonekano wa Ziwa Chiuta
Nchi zinazopakana Malawi
Eneo la maji km2 25 - 130
Kina cha chini m 3 - 4
Kimo cha uso wa maji
juu ya UB
m 628[1]

Ziwa Chiuta ni ziwa lenye kina kifupi linalopatikana katika mpaka kati ya Malawi na Msumbiji. Lakini pia linapatikana katika ukanda wa kaskazini mwa Ziwa Chilwa na kusini mwa Ziwa Amaramba.

Ziwa Chiuta lina kina cha urefu kati ya mita 3–4 na lina kilomita za mraba kati ya 25 mpaka 130, ambazo zinategemeana na msimu wa mvua.

  1. Lake Chiuta, tovuti ya geonames, iliangaliwa 2-11-2019

Kujisomea

[hariri | hariri chanzo]
  • Dawson, A.L. (1970). "The Geology of the Lake Chiuta Area". Geological Survey Dept., Ministry of Natural Resources Malawi. Government Printer, Zomba, Malawi
  • Owen, R.B & R. Crossley, 198?. "Recent sedimentation in Lakes Chilwa and Chiuta, Malawi". Dept. of Geography and Earth Science, University of Malawi, Zomba, Malawi
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ziwa Chiuta kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

]