Mto Kanyomvyi (Ruyigi)
Mandhari
Mto Kanyomvyi (Ruyigi) ni jina la mito miwili na korongo moja vinavyopatikana katika mkoa wa Ruyigi (mashariki mwa Burundi).
Maji ya mto mmojawapo huelekea Ziwa Tanganyika, Mto Kongo na hatimaye Bahari ya Atlantiki. Yale ya mto mwingine na wa korongo yanaelekea mto Ruvubu, ziwa Nyanza, mto Naili na hatimaye Bahari ya Kati.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Burundi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Kanyomvyi (Ruyigi) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |