Mpilipili (Solanaceae)
Mandhari
Mpilipili (Capsicum spp.) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mpilipili wenye matunda
| ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mipilipili au mipiripiri ni mimea ya jenasi Capsicum katika familia Solanaceae ambao matunda yao, yaitwayo pilipili, hutumika kama kiungo kwa ajili ya ladha yao kali sana. Lakini kuna namna zisizo na ladha kali na hizi huitwa pilipili hoho. Kinyume na hizi pilipili kichaa ni kali sana.
Mimea hii hukuzwa duniani kote ambapo hali ya hewa ni ya moto kiasi au katika nyumba za kioo ambapo hali ya hewa ni baridi.
Spishi zinazakuzwa katika Afrika
[hariri | hariri chanzo]- Capsicum annuum, Mpilipili (Hot pepper)
- Capsicum annuum cv. cayenne, Udaha (Cayenne pepper)
- Capsicum annuum var. grossum, Mpilipili-hoho (Sweet pepper)
- Capsicum chinense, Mpilipili (Capsicum chinense)
- Capsicum frutescens, Mpilipili-kichaa (Capsicum frutescens)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Ua
-
Pilipili aina “Cayenne” (udaha)
-
Pilipili hoho
-
Pilipili hoho za rangi mbalimbali
-
Ua na tunda ya mpilipili aina “Habañero”
-
Pilipili kichaa
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mpilipili (Solanaceae) kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |