Mpilipili (Solanaceae)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Capsicum chinense)
Mpilipili
(Capsicum spp.)
Mpilipili wenye matunda
Mpilipili wenye matunda
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Asterids (Mimea kama alizeti)
Oda: Solanales (Mimea kama mnavu)
Familia: Solanaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mnavu)
Jenasi: Capsicum
L.
Spishi: C. annuum L.

C. chinense Jacq.
C. frutescens L.

Mipilipili au mipiripiri ni mimea ya jenasi Capsicum katika familia Solanaceae ambao matunda yao, yaitwayo pilipili, hutumika kama kiungo kwa ajili ya ladha yao kali sana. Lakini kuna namna zisizo na ladha kali na hizi huitwa pilipili hoho. Kinyume na hizi pilipili kichaa ni kali sana.

Mimea hii hukuzwa duniani kote ambapo hali ya hewa ni ya moto kiasi au katika nyumba za kioo ambapo hali ya hewa ni baridi.

Spishi zinazakuzwa katika Afrika[hariri | hariri chanzo]

Picha[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mpilipili (Solanaceae) kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.