Mouna Hannachi
Mandhari
Mouna Hannachi ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu nchini Tunisia kwasasa ni meneja anajulikana kwa jina la utani Manino, alicheza kama beki na kuiwakilisha timu ya taifa ya wanawake ya Tunisia.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Tunisie: 1er tournoi de l'UNAF- Cet après-midi à 15h00". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-11-09. Iliwekwa mnamo 2024-03-26.
- ↑ "UAE MATCH DATA SHEET 16", 12 October 2011. Retrieved on 9 August 2021. Archived from the original on 2023-04-22.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mouna Hannachi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |