Mohamed Hussein

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mohamed Hussein Zimbwe Jr (anajulikana kama Tshabalala; alizaliwa 11 Januari 1992) ni Mtanzania mchezaji wa mpira wa miguu anayechezea timu ya Simba S.C. na timu ya taifa ya Tanzania.

Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Alicheza mechi yake ya kwanza na timu ya taifa tarehe 22 Novemba 2015 katika mchezo wa 2015 CECAFA Cup dhidi ya Somalia.[1] Alichaguliwa katika kikosi cha Kombe la Mataifa ya Afrika la 2019.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]