Mnara wa taa wa Ulenge
Mandhari
| Mnara wa taa wa Ulenge | |
kisiwa cha Ulenge | |
| Nchi | kisiwa cha Ulenge Tanga |
|---|---|
Mnara wa taa wa Ulenge uko katika kisiwa cha Ulenge, Mkoa wa Tanga, kaskazini mashariki mwa Tanzania. Ulijengwa wakati wa ukoloni wa Kijerumani mwaka wa 1894[1].
Karibu na mnara wa taa, kulikuwa na jengo la kupata nafuu na kupona baada ya udhaifu uliosababishwa na ugonjwa uliowapata Wazungu[2].
Tazama Pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Lighthouses of Tanzania". www.ibiblio.org.
- ↑ "Deutsche Kolonialzeitung : Organ der Deutschen Kolonialgesellschaft". 8 Des 1922 – kutoka sammlungen.ub.uni-frankfurt.de.