Kisiwa cha Ulenge

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mnara wa kuongozea meli uliopo kisiwa cha Ulenge
Mnara wa taa wa Ulenge

Kisiwa cha Ulenge ni kisiwa kimojawapo cha mkoa wa Tanga, nchini Tanzania, ambacho kinapatikana katika Bahari ya Hindi. Mnara wa Taa kisiwani ulijengwa wakati wa ukoloni wa Kijerumani mwaka wa 1894[1]. Karibu na mnara wa taa, lilikuwa jengo la kupata nafuu na kupona baada ya udhaifu uliosababishwa na ugonjwa wakawapata wazungu[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]