Nenda kwa yaliyomo

Mlango wa Korea

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani inayoonyesha Mlango wa Bahari wa Korea

Mlango wa Korea ni mlango wa bahari baina ya Korea Kusini na nchi ya Japani. Mlango huu unaunganisha Bahari ya Uchina ya Mashariki na Bahari ya Japani kwa upande wa kaskazini-magharibi mwa Bahari ya Pasifiki. Mlango umegawanyika na Kisiwa cha Tsushima kwa upande wa magharibi mwa kanda ya Mlango wa Tsushima (kanda ya mashariki).

Jiografia

[hariri | hariri chanzo]

Kwa upande wa kaskazini imepakana na pwani ya kusini mwa Peninsula ya Korea, na kwa upande wa kusini ipo kusini-magharibi mwa Visiwa vya Japani vya Kyūshū na Honshū. Ipo takriban 200 km (maili 120) upana na wastani ina kina cha mita 90 hadi 100 (300 ft).

Kisiwa cha Tsushima inawagawanya Mlango wa Korea katika kanda ya magharibi na Mlango wa Tsushima. Kanda ya magharibi ina kina kirefu cha (mita 227) na mwembamba sana kuliko Mlango wa Tsushima.

  1. ^  For example, "Tsushima". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-01-08. Iliwekwa mnamo 2009-11-27. Russo-Japanese War Research Society
  2. ^  "Nautical Charts of SE Japan Sea". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-05-13. Iliwekwa mnamo 2009-11-27. Japan Hydrographic Association
  3. ^  "List of National and Quasi-national Parks, Japan #48 Iki-Tsushima". Ministry of the Environment, Japan
  4. ^  "The Republic of Korea's Maritime Boundaries, page 18". Iliwekwa mnamo 23 Juni 2005.
  5. ^  "Designated Area of Japan". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2004-08-22. Iliwekwa mnamo 2009-11-27. Hydrographic and Oceanographic Department, Japan Coast Guard

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlango wa Korea kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.