Nenda kwa yaliyomo

Mlango wa Tsushima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlango wa bahari wa Tsushima ni kanda ya mashariki mwa Mlango wa Korea.

Mlango wa Tsushima (対馬海峡 Tsushima Kaikyō) pia unajulikana kama Mlango wa Tsu Shima au Mlango wa Tsu-Shima}}[1] ni sehemu ya mashariki ya Mlango wa Korea, ambao upo baina Korea na Japani, na hasa sehemu kati ya kisiwa cha Tsushima na Japani penyewe.

Jina la Tsushima limkuwa maarufu kutokana na mapigano ya manowari ya tar. 27 na 28 Mei 1905 wakati wa Vita ya Japani na Urusi ya 1905. Wajapan walishinda kundi la manowari za Kirusi na mapigano haya yaliathiri mipango ya kujenga jeshi za bahari kimataifa kwa miaka iliyofuata hadi vita kuu ya pili ya dunia.

  1. Nchini Japan jina la "Mlango wa Tsushima" humaanisha Mlango wa Korea ambao ni sehemu ya Bahari kati ya Rasi ya Korea na kisiwa cha Kyūshū (Japan). Wajapan huita sehemu inayoelezwa katika makala hii "sehemu ya mashariki ya mlano wa Tsushima"|対馬海峡東水道|Tsushima Kaikyō higashi-suidō.
  1. ^  For example, "Tsushima". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-01-08. Iliwekwa mnamo 2009-11-30. Russo-Japanese War Research Society
  2. ^  "Nautical Charts of SE Japan Sea". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-05-13. Iliwekwa mnamo 2009-11-30. Japan Hydrographic Association
  3. ^  "List of National and Quasi-national Parks, Japan #48 Iki-Tsushima". Ministry of the Environment, Japan
  4. ^  See Pleshakov, Constantine "The Tsar's Last Armada" Basic Books 2002, for details of the 1904-1905 voyage of the Russian naval armada to the Tsushima Strait under the leadership of Admiral Zinovy Rozhestvensky.
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlango wa Tsushima kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.