Mkuruti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkuruti
(Baphia spp.)
Mkuruti wa Natal
Mkuruti wa Natal
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Planta (mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Fabales (Mimea kama mharagwe)
Familia: Fabaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mharagwe)
Nusufamilia: Faboideae
Jenasi: Baphia
L.
Ngazi za chini

Spishi 48, 15 katika Afrika ya Mashariki:

Mikuruti (Baphia spp.) ni miti ya familia Fabaceae. Inatokea Afrika kusini kwa Sahara tu na spishi nyingi zinakua katika misitu ya mvua. Ubao hupendwa sana kwa kutengeneza vitu vidogo, k.m. mipini ya visu. Hutumika pia kwa kutengeneza rangi nyekundu.

Spishi za Afrika ya Mashariki[hariri | hariri chanzo]

Picha[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkuruti kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.