Jimbo la Oromia
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mkoa wa Oromia)
Oromiyaa Jimbo la Oromia |
|||
| |||
Mahali pa jimbo la Oromia katika Ethiopia | |||
Nchi | Ethiopia | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Adama | ||
Eneo | |||
- Jumla | 353,362 km² | ||
Idadi ya wakazi (2007) | |||
- Wakazi kwa ujumla | 27,158,471 |
Jimbo la Oromia (kwa Kioromo: Oromiyaa) ni moja ya majimbo 12 ya kujitawala ya Ethiopia.
Idadi ya wakazi wake ni takriban 27,158,471, hivyo linaongoza nchini kwa ukubwa wa eneo na kwa idadi ya watu.
Makao makuu ni Adama.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]
Addis Abeba | Afar | Amhara | Benishangul-Gumuz | Dire Dawa | Gambela | Harar | Oromia | Sidama | Somali | Mataifa ya Kusini | Tigray |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Oromia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |