Mkoa wa Nugal

Nugal (Kisomali: Nugaal, Kiarabu: نوغال, Kiitalia: Nogal) ni mkoa wa kiutawala (gobol) wa ukanda wa kaskazini Somalia.[1]
Maelezo ya jumla[hariri | hariri chanzo]
Umepakana na mikoa ya Somalia kama Sool upande wa magharibi, Bari upande wa kaskazini, na Mudug upande wa kusini na mkoa wa Somali wa Ethiopia. Upande wa mashariki imepakana na bahari ya Somalia.
Nugal ni mji wa kati wa Garowe, ambao ni mji mkuu wa Puntland.
Alama kubwa ya mkoa huu ni Bonde la Nugaal, linalojazwa na mito ya Nugal na Dheer ambayo ni ya msimu wa masika kati ya Aprili–June.
Wilaya[hariri | hariri chanzo]
Mkoa wa Nugal una jumla ya wilaya tano:[2]
Miji mikubwa[hariri | hariri chanzo]
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Somalia. The World Factbook. Central Intelligence Agency. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-07-01. Iliwekwa mnamo 6 December 2013.
- ↑ Nugaal Region. Iliwekwa mnamo 30 January 2014.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Somalia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Nugal kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |