Mkoa wa Ngounié

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Ngounié
Mkoa wa Ngounié

Ngounié ni moja kati ya mikoa tisa ya nchini Gabon. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 37,750. Mji mkuu wa mkoa huu ni Mouila.

Kwa upande kusii-mashariki, Ngounié umepakana na Mkoa wa Niari wa Jamhuri ya Kongo. Kwa upande wanyumbani, mkoa umepakana na mikoa ifuatayo:

Departments[hariri | hariri chanzo]

Departments of Ngounié

Ngounié is divided into 7 departments: