Mkoa wa Ogooué-Maritime
Mandhari
(Elekezwa kutoka Ogooué-Maritime)
Makala hii, au sehemu za makala hii, inahitaji vyanzo au marejeo yoyote. Tafadhali saidia kuboresha makala hii kwa kuweka vyanzo vya kuaminika. Habari zisizowekewa vyanzo zinaweza kuwekewa alama na kuondolewa. (Desemba 2009) |
Ogooué-Maritime ni moja kati ya mikoa ya nchini Gabon. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 22,890. Mji mkuu wa mkoa huu ni Port-Gentil. Ulikadiriwa kuwa na wakazi takriban 137,993 kwa mwaka wa 2006.
Ukingoni mwa magharibi mwa Ogooué-Maritime kuna pwani za Bahari ya Atlantiki, ikiwa ni pamoja na Ghuba ya Guinea katika upande wa kaskazini ya mbali. Mkoa huu umepakana na mikoa ifuatayo:
- Estuaire - Kaskazini
- Moyen-Ogooué - kaskazini-mashariki
- Ngounié - Mashariki
- Nyanga - kusini-mashariki
Departments
[hariri | hariri chanzo]Ogooué-Maritime imegawanyika katika departments 3:
Makala hii kuhusu maeneo ya Gabon bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkoa wa Ogooué-Maritime kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |