Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Ogooué-Maritime

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Ogooué-Maritime
Mkoa wa Ogooué-Maritime

Ogooué-Maritime ni moja kati ya mikoa ya nchini Gabon. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 22,890. Mji mkuu wa mkoa huu ni Port-Gentil. Ulikadiriwa kuwa na wakazi takriban 137,993 kwa mwaka wa 2006.

Ukingoni mwa magharibi mwa Ogooué-Maritime kuna pwani za Bahari ya Atlantiki, ikiwa ni pamoja na Ghuba ya Guinea katika upande wa kaskazini ya mbali. Mkoa huu umepakana na mikoa ifuatayo:

Departments[hariri | hariri chanzo]

Departments za Ogooué-Maritime

Ogooué-Maritime imegawanyika katika departments 3: