Mkarafuu
Mandhari
Mkarafuu (Syzygium aromaticum) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mikarafuu
| ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mkarafuu (Syzygium aromaticum) ni mti wa familia Myrtaceae. Macho ya maua yake yaliyokauka huitwa karafuu na kutumika kwa kiungo katika aina nyingi za chakula. Vikonyo vya maua huitwa makonyo na hutumika kama mbadala rahisi wa karafuu.
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Majani
-
Maua
-
Makarafuu mabichi
-
Karafuu
-
Makarafuu
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkarafuu kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |