Mjusi-kafiri mchana
Mjusi-kafiri mchana | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mjusi-kafiri mchana pwani (Phelsuma dubia)
| ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
| ||||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||||
Spishi 53:
|
Mijusi-kafiri mchana ni mijusi wa jenasi Phelsuma katika familia Gekkonidae. Kinyume na spishi nyingine za mijusi-kafiri, ambazo hukiakia usiku, spishi hizi hukiakia mchana. Katika Unguja na Pemba spishi za huko huitwa mijusi wa mnazi pia, kwa sababu wanatokea kwa majani ya minazi.
Takriban mijusi wote wa jenasi hii wana rangi ya majani. Wengine ni buluu, kijivu au kahawia. Mara nyingi wana madoa na/au milia mekundu, buluu, njano au meusi.
Spishi nyingi ni ndogo kuliko mijusi-kafiri wengine, k.m. chini ya sm 15. Ile ndogo kabisa ni mjusi-kafiri mchana kibete, ambaye inafika sm 7.1 tu. Spishi nyingine zinafika sm 30 na mjusi-kafiri mkubwa wa Rodrigues, ambaye amekwisha sasa, alikuwa na urefu wa hadi sm 40.
Mijusi hawa hula wadudu, vertebrata wengine, mbochi, mbelewele na matunda mororo.
Spishi
[hariri | hariri chanzo]- Phelsuma abbotti, Mjusi-kafiri Mchanawa Abbott (Abbott's day gecko)
- Phelsuma a. abbotti, Mjusi-kafiri Mchana wa Aldabra (Aldabra Island day gecko)
- Phelsuma a. chekei, Mjusi-kafiri Mchana wa Cheke (Cheke's day gecko)
- Phelsuma a. sumptio, Mjusi-kafiri Mchana wa Assumption (Assumption Island day gecko)
- Phelsuma andamanense, Mjusi-kafiri Mchana wa Visiwa vya Andamani (Andaman Islands day gecko)
- Phelsuma antanosy, Mjusi-kafiri Mchana wa Anosy (Anosy day gecko)
- Phelsuma astriata, Mjusi-kafiri Mchana wa Shelisheli (Seychelles day gecko)
- Phelsuma barbouri, Mjusi-kafiri Mchana wa Barbour (Barbour's day gecko)
- Phelsuma berghofi, Mjusi-kafiri Mchana wa Berghof (Berghof's day gecko)
- Phelsuma borai, Mjusi-kafiri Mchana wa Bora (Bora's day gecko)
- Phelsuma borbonica
- Phelsuma b. agalegae, Mjusi-kafiri Mchana wa Agalega (Agaléga day gecko)
- Phelsuma b. borbonica, Mjusi-kafiri Mchana wa Reunion (Réunion Island day gecko)
- Phelsuma breviceps, Mjusi-kafiri Mchana Pua-fupi (Short-snouted day gecko)
- Phelsuma cepediana, Mjusi-kafiri Mchana Mkia-buluu (Blue-tailed day gecko)
- Phelsuma comorensis, Mjusi-kafiri Mchana wa Ngazija (Grande Comore day gecko)
- Phelsuma dorsivittata, Mjusi-kafiri Mchana wa Mgongo-milia (Back-striped day gecko)
- Phelsuma dubia, Mjusi-kafiri Mchana Pwani (Dull green day gecko)
- Phelsuma edwardnewtoni, Mjusi-kafiri Mchana wa Rodrigues (Rodrigues day gecko)
- Phelsuma flavigularis, Mjusi-kafiri Mchana Koo-njano (Yellow-throated day gecko)
- Phelsuma gigas, Mjusi-kafiri Mkubwa wa Rodrigues (Rodrigues giant day gecko)
- Phelsuma gouldi, Mjusi-kafiri Mchana wa Gould (Gould's day gecko)
- Phelsuma grandis, Mjusi-kafiri Mchana Mkubwa (Madagascar giant day gecko)
- Phelsuma guentheri, Mjusi-kafiri Mkubwa wa Round Island (Round Island day gecko)
- Phelsuma guimbeaui, Mjusi-kafiri Mchana Madoa-machungwa (Orange-spotted day gecko)
- Phelsuma guttata, Mjusi-kafiri Mchana Vidoadoa (Speckled day gecko)
- Phelsuma hielscheri, Mjusi-kafiri Mchana wa Morondava (Morondava day gecko)
- Phelsuma hoeschi, Mjusi-kafiri Mchana wa Hoesch (Hoesch's day gecko)
- Phelsuma inexpectata, Mjusi-kafiri Mchana Maridada wa Reunion ( Réunion Island ornate day gecko)
- Phelsuma kely, Mjusi-kafiri Mchana Kibete (Least day gecko)
- Phelsuma klemmeri, Mjusi-kafiri Mchana Kichwa-njano (Yellow-headed day gecko)
- Phelsuma kochi, Mjusi-kafiri Mchana Mkubwa wa Koch (Koch's giant day gecko)
- Phelsuma laticauda, Mjusi-kafiri Mchana Vidoa-dhahabu (Gold dust day gecko)
- Phelsuma lineata, Mjusi-kafiri Mchana Milia (Striped day gecko)
- Phelsuma madagascariensis
- Phelsuma m. boehmei, Mjusi-kafiri Mchana Mkubwa wa Böhme (Böhme's giant day gecko)
- Phelsuma m. madagascariensis, Mjusi-kafiri Mchana wa Madagaska (Madagascar day gecko)
- Phelsuma malamakibo, Mjusi-kafiri Mchana Tumbo-laini (Smooth-bellied day gecko)
- Phelsuma masohoala, Mjusi-kafiri Mchana wa Masohoala (Masohoala day gecko)
- Phelsuma modesta, Mjusi-kafiri Mchana Mnyenyekevu (Modest day gecko)
- Phelsuma mutabilis, Mjusi-kafiri Mchana Mkia-mnene (Thicktail day gecko)
- Phelsuma nigristriata, Mjusi-kafiri Mchana wa Mayotte (Island day gecko)
- Phelsuma ornata, Mjusi-kafiri Mchana Maridada wa Morisi (Mauritius ornate day gecko)
- Phelsuma parkeri, Mjusi-kafiri Mchana wa Pemba (Pemba Island day gecko)
- Phelsuma parva, Mjusi-kafiri Mchana Mdogo (Small day gecko)
- Phelsuma pasteuri, Mjusi-kafiri Mchana wa Pasteur (Pasteur's day gecko)
- Phelsuma pronki, Mjusi-kafiri Mchana wa Pronk (Pronk's day gecko)
- Phelsuma pusilla, Mjusi-kafiri Mchana Mdogo??? (Lesser day gecko)
- Phelsuma p. hallmanni, Mjusi-kafiri Mchana wa Hallmann (Hallmann's day gecko)
- Phelsuma p. pusilla, Mjusi-kafiri Mchana Mdogo??? (Lesser day gecko)
- Phelsuma quadriocellata, Mjusi-kafiri Mchana Tausi (Peacock day gecko)
- Phelsuma ravenala, Mjusi-kafiri Mchana Ravenala (Ravenala day gecko)
- Phelsuma robertmertensi, Mjusi-kafiri Mchana wa Mertens (Robert Mertens's day gecko)
- Phelsuma roesleri, Mjusi-kafiri Mchana wa Rösler (Rösler's day gecko)
- Phelsuma rosagularis, Mjusi-kafiri Mchana Koo-pinki (Mauritius upland forest day gecko)
- Phelsuma seippi, Mjusi-kafiri Mchana wa Seipp (Seipp's day gecko)
- Phelsuma serraticauda, Mjusi-kafiri Mchana Msumeno (Flat-tailed day gecko)
- Phelsuma standingi, Mjusi-kafiri Mchana wa Standing (Standing's day gecko)
- Phelsuma sundbergi, Mjusi-kafiri Mchana wa Sundberg (Sundberg's day gecko)
- Phelsuma s. ladiguensis, Mjusi-kafiri Mchana wa La Digue (La Digue day gecko)
- Phelsuma s. longinsulae, Mjusi-kafiri Mchana wa Mahe (Mahé day gecko)
- Phelsuma s. sundbergi, Mjusi-kafiri Mchana Mkubwa wa Shelisheli (Seychelles giant day gecko)
- Phelsuma v-nigra, Mjusi-kafiri Mchana V-nyeusi (Indian day gecko)
- Phelsuma v. anjouanensis, Mjusi-kafiri Mchana wa Nzwani (Anjouan Island day gecko)
- Phelsuma v. comoraegrandensis, Mjusi-kafiri Mchana Mdogo wa Ngazija (Grand Comoro day gecko)
- Phelsuma v. v-nigra, Mjusi-kafiri Mchana wa Mwali (Mohéli day gecko)
- Phelsuma vanheygeni, Mjusi-kafiri Mchana wa Van Heygen (Van Heygen's day gecko)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Mjusi-kafiri mchana wa Cheke
-
Mjusi-kafiri mchana wa Visiwa vya Andamani
-
Mjusi-kafiri mchana wa Shelisheli
-
Mjusi-kafiri mchana wa Barbour
-
Mjusi-kafiri mchana wa Reunion
-
Mjusi-kafiri mchana pua-fupi
-
Mjusi-kafiri mchana mkia-buluu
-
Mjusi-kafiri mchana wa Rodrigues
-
Mjusi-kafiri mchana koo-njano
-
Mjusi-kafiri mchana mkubwa
-
Mjusi-kafiri mchana wa Round Island
-
Mjusi-kafiri mchana vidoadoa
-
Mjusi-kafiri mchana wa Morondava
-
Mjusi-kafiri mchana maridadi wa Reunion
-
Mjusi-kafiri mchana kichwa-njano
-
Mjusi-kafiri mchana kubwa wa Koch
-
Mjusi-kafiri mchana vidoa-dhahabu
-
Mjusi-kafiri mchana milia
-
Mjusi-kafiri mchana wa Madagaska
-
Mjusi-kafiri mchana mnyenyekevu
-
Mjusi-kafiri mchana mkia-mnene
-
Mjusi-kafiri mchana wa Mayotte
-
Mjusi-kafiri mchana maridadi wa Morisi
-
Mjusi-kafiri mchana wa Pasteur
-
Mjusi-kafiri mchana mdogo
-
Mjusi-kafiri mchana tausi
-
Mjusi-kafiri mchana wa Mertens
-
Mjusi-kafiri mchana msumeno
-
Mjusi-kafiri mchana wa Standing
-
Mjusi-kafiri mchana kubwa wa Shelisheli
-
Mjusi-kafiri mchana wa Mwali
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Spawls, S., Howell, K., Drewes, R. & Ashe, J. (2002) A field guide to the Reptiles of East Africa. Academic Press, San Diego, CA, USA.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mjusi-kafiri mchana kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |