Mimi Plange

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mwanamitindo Mimi Plange

Mimi Plange ni mwanamitindo mzaliwa wa Ghana. Alihamia Marekani utotoni, ambapo alisomea sanaa na mitindo.

Maisha Yake[hariri | hariri chanzo]

Plange alizaliwa huko Accra, Ghana. Alihamia California pamoja na familia yake akiwa mdogo. Alipokea tuzo ya BA katika Sanaa kutoka chuo kikuu cha California kilichopo Berkeley na kuhudhuria chuo cha mitindo (Fashion Institute of Design and Merchandising) huko California. Baada ya elimu yake, alihamia New York na akafanya kazi kwa Patricia Fields na Rachel Roy.[1]

Yeye na mshirika wake wa kibiashara Ibrahim Ndoye, walitengeneza mtindo wa Boudoir D'huîtres lakini baadaye akaubadilisha na kuuita jina lake mwenyewe Mimi Plange mnamo mwaka 2010.[2]

Ubunifu wake umeathiriwa na urithi wa Kiafrika.[3] Wateja wake ni pamoja na Rihanna, Serena Williams na mke wa raisi, Michelle Obama.[3] Michelle wore her A-line skirt on the ABC TV show The View. Plange was the Designer of the Year at Mercedes Benz Fashion Week South Africa.[1]

Katika makala ya 2011 The New York Times, Plange alinukuliwa akisema: "Nataka kuwathibitishia watu kwamba mitindo ya Kiafrika haiwezi kuzuiwa.... Ninaweza kushindana kimataifa."[2][4]

Mnamo mwaka 2015 alishirikiana na wabunifu wa samani, Roche Bobois kuunda tiles za Mahjong na sofa zilizovaliwa na malighafi zake ambazo zilitengenezwa nchini Burkina Faso.[5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Who is Mimi Plange? | The Studio Museum in Harlem (en-US). Jalada kutoka ya awali juu ya 2017-03-09. Iliwekwa mnamo 2022-03-20.
  2. 2.0 2.1 Jennings, Helen (2011-01-01). New African fashion (in English). Munich; London; New York (N.Y.): Prestel. ISBN 9783791345796. OCLC 800941704. 
  3. 3.0 3.1 "MIMI PLANGE - ITC", ITC. Retrieved on 2022-03-20. (en-US) Archived from the original on 2018-08-12. 
  4. Oliver, Simone S.. "Africa's New Fashion Influence", The New York Times, 2011-12-07. 
  5. "Fashion designer Mimi Plange creates exclusive Atlanta furniture collection for Roche Bobois", 2016-10-04. (en-US)