Mike Murphy
Mandhari
Michael Charles Murphy (26 Februari 1860 - 4 Juni 1913) alikuwa mkufunzi na kocha wa riadha kutoka Marekani katika chuo kikuu cha Yale (1887-1889, 1892-1896, 1901-1905), klabu ya riadha ya Detroit. (1889-1892), Chuo kikuu cha Michigan(1891), chuo kikuu cha Villanova (1894), chuo kikuu cha Pennsylvania (1896-1901, 1905-1913), na klabu ya riadha ya New York (1890-1900). [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mike Murphy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |