Michelle Alozie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Michelle Alozie
Amezaliwa 28 Aprili 1997
Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake Mwanasoka

Michelle Chinwendu Alozie (alizaliwa 28 Aprili 1997) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Nigeria ambaye anacheza kama mshambuliaji wa timu ya taifa ya Wanawake ya Nigeria.[1]

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Alozie alizaliwa Marekani na alilelewa kwenye Apple Valley, California.[2][1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Michelle Alozie - Soccer. Iliwekwa mnamo 19 June 2021.
  2. Michelle Alozie - 2018 - Women's Soccer. Iliwekwa mnamo 19 June 2021.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michelle Alozie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.