Nenda kwa yaliyomo

Rodentia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mgugunaji)
Rodentia

Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Nusungeli: Eutheria
Oda: Rodentia (Wagugunaji)
Nusuoda: Sciuromorpha (Wanyama kama kindi)

Castorimorpha (Wanyama kama panyabuku)
Myomorpha (Wanyama kama panya)
Anomaluromorpha (Wanyama kama kamendegere)
Hystricomorpha (Wanyama kama nungunungu)

Rodentia ni jina la Kisayansi la oda ya panya, vipanya, mabuku, biva, panyabuku, kindi na mafuko. Kwa Kiswahili huitwa wagugunaji.

Oda[hariri | hariri chanzo]

ODA RODENTIA