Nenda kwa yaliyomo

Panya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Muroidea)
Panya
Panya-nyasi wa Afrika
Panya-nyasi wa Afrika
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Mamalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Rodentia (Wanyama wagugunaji)
Familia ya juu: Muroidea (Wanyama kama panya)
Ngazi za chini

Familia 6:

Kutoka Wikipedia, ensaiklopidia huru

Panya ni wanyama wadogo wa familia ya juu ya Muroidea katika oda ya Rodentia (wanyama wagugunaji).

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Panya kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.